Karibu kwenye tovuti rasmi ya shule.
St. James Kilolo Secondary School inalenga kutoa elimu yenye matokeo, nidhamu na malezi yanayomsaidia mwanafunzi kukua kitaaluma, kitabia na kijamii.
Tunashirikiana na wazazi kuhakikisha mwanafunzi anapata mazingira salama, usimamizi wa karibu, maadili na mwongozo wa maisha. Mr.DAUDI MWISAKA
CHUKUA FOMUSehemu muhimu zinazoonyesha ubora wa mazingira ya kujifunzia St. James Kilolo.

Masomo yanafuatiliwa kwa ukaribu ili kuongeza uelewa na kuimarisha ufaulu.

Walimu hushirikiana na wanafunzi kwa ushauri, maelekezo na usimamizi wa kila siku.

Mazingira ya mitihani na mazoezi huimarisha maandalizi ya kitaaluma kwa wanafunzi.