TAARIFA ZA ADA
Taarifa za Ada ya Shule
Ukurasa huu unaonesha ada ya shule, ratiba ya malipo na akaunti rasmi za malipo za St. James Kilolo Secondary School.
Kidato cha Kwanza hadi Kidato cha Nne
Ada ya shule kwa mwaka ni:
Tsh 1,750,000/=
Mwanafunzi anaweza kulipa ada yote katika muhula wa kwanza au kulipa kwa awamu kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini.
| Mwezi | Kiasi cha Kulipa |
|---|---|
| Januari | Tsh 437,500/= |
| Aprili | Tsh 437,500/= |
| Julai | Tsh 437,500/= |
| Septemba | Tsh 437,500/= |
| Jumla | Tsh 1,750,000/= |
Kidato cha Tano
Ada ya shule kwa mwaka ni:
Tsh 1,750,000/=
Malipo yote yafanyike kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini. Mzazi anaweza kulipa zaidi ya kiasi kilichopangwa, lakini si chini ya kiasi cha awamu husika.
| Mwezi | Kiasi cha Kulipa |
|---|---|
| Julai | Tsh 583,500/= |
| Novemba | Tsh 583,500/= |
| Aprili | Tsh 583,000/= |
| Jumla | Tsh 1,750,000/= |
Akaunti Rasmi za Malipo
Fedha zote zilipwe kupitia akaunti zifuatazo kwa jina la St. James Kilolo Secondary.
Mkombozi Bank
Akaunti Na. 01111511756501
CRDB Bank
Akaunti Na. 0150242287300
NMB Bank
Akaunti Na. 62310001493
Maelekezo Muhimu kwa Mzazi/Mlezi
Hakikisha malipo yanafanyika kwenye akaunti rasmi za shule. Baada ya kufanya malipo, mzazi au mlezi anatakiwa kuhifadhi risiti au uthibitisho wa malipo kwa ajili ya kumbukumbu na uthibitisho shuleni.