FORM ONE Application Form

Application Form Kidato cha Kwanza
Jaza taarifa za mwanafunzi hapa chini kisha tuma maombi moja kwa moja kupitia WhatsApp ya shule.

Malipo ya Fomu na Mtihani

Malipo ya fomu na mtihani ni Tsh 10,000/=.

Baada ya kufanya malipo, jaza fomu hii na uitume WhatsApp. Kisha tuma pia picha ya risiti/pay-in-slip kwenye WhatsApp hiyo hiyo: +255 758 378 301.
CRDB Bank 0150242287300
NMB Bank 62310001493
Mkombozi Bank 01111511756501

Jina la akaunti: St. James Kilolo Secondary

Vitu Muhimu vya Kuandaa

  • Kivuli cha cheti cha kuhitimu Darasa la Saba au barua ya uthibitisho kutoka shule ya msingi.
  • Picha tatu za passport size akiwa amevaa shati/blauzi jeupe la shule.
  • Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
  • Picha ya risiti/pay-in-slip ya malipo ya fomu.

Jaza Application Form

Taarifa za Wazazi/Walezi

Elimu ya Mwombaji

Rudi Fomu na Matokeo