FORM FIVE joining instruction

Joining Instruction Kidato cha Tano

Taarifa Muhimu za Shule

ShuleSt. James Kilolo Secondary School
MahaliKilolo, Iringa - Tanzania
Namba ya UsajiliS.4401
Shule ipo Wilaya ya Kilolo, takribani kilomita 32 kutoka Iringa mjini, barabara kuu iendayo Kilolo.

Ada ya Shule

Ada ya shule kwa mwaka ni Tsh 1,750,000/=.

  • Julai: Tsh 583,500/=
  • Novemba: Tsh 583,500/=
  • Aprili: Tsh 583,000/=
Malipo yafanyike kupitia akaunti rasmi za shule: Mkombozi Bank 01111511756501, CRDB 0150242287300, au NMB 62310001493. Akaunti zote ni kwa jina la St. James Kilolo Secondary.

Mahitaji Muhimu ya Mwanafunzi

  • Sare za shule kulingana na jinsia ya mwanafunzi.
  • Mashati meupe ya mikono mirefu, viatu vyeusi, soksi nyeupe na tai nyeusi.
  • Mashuka mawili, blanket zito, mto wa kulalia na chandarua.
  • Ndoo ya plastiki, vyombo vya chakula vya aluminium, taulo na godoro.
  • Daftari zisizopungua dazeni moja, rimu za karatasi A4 na nakala ya cheti cha kuzaliwa.
  • Tochi, jembe lenye mpini, kwanja, soft broom na squeezer.

Jaza Taarifa za Mwanafunzi

Mzazi au mlezi ajaze taarifa hapa chini kisha abonyeze kutuma WhatsApp.